Huwezi kusikiliza tena

AFCON:Charles Hillary awahoji wachambuzi

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika nchini Equatoril Guinea, Charles Hilary anajadiliana na wachambuzi wa kandanda wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Israel Saria na Hamisi Kizigo juu ya matazamio ya michuano hiyo kutoka kila kundi na vile vile utabiri wao ingawa kwa sasa utakuwa siri hadi mwisho wa michuano hiyo.