Maisha baada ya shambulizi la mgodi wa Mandera
Huwezi kusikiliza tena

Hali mjini Mandera baada ya shambulizi

Nchini Kenya, wachimba mawe 20 wametozwa faini ya shilingi elfu 60,000 na mahakama moja ya Mandera huko kaskazini mashariki kwa kukaidi amri ya serikali ya kuto lala katika machimbo ya mawe ambapo wenzao 38 waliuwawa mwaka jana katika shabulio lilifanywa na kundi la Alshabaab. Mwandishi wetu Bashkas Jugsodaay ametuandalia taarifa ifuatayo.