magari yanayojiendesha bila dereva
Huwezi kusikiliza tena

Magari yasio na dereva kutumika UK

Magari yanayojiendesha bila dereva yamepiga hatua kubwa.Magari hayo yamezinduliwa katika maeneo manne nchini Uingereza ambapo serikali inaangazia teknologia hiyo mpya.Idara ya uchukuzi nchini humo tayari imethibitisha kuwa ni muhimu kubadilisha sheria za barabarani pamoja na utunzaji wa magari kwa lengo la kutoa fursa kwa magari yanayojiendesha bila dereva nchini Uingereza.