Huwezi kusikiliza tena

Wahamiaji 2000 waokolewa baharini

Operesheni kubwa kuwahi kufanywa na kikosi cha ulinzi wa baharini nchini Italia (Italian Coast guard) dhidi ya wahamiaji haramu ina karibia kumalizika,

huku idadi kubwa ya wahamiaji haramu ikiwa wameokolewa.

Nimezungumza na mwandishi wa BBC Kassim Kayira, ambaye yuko kisiwani Lampedusa kushuhudia operesheni hiyo,

na anaanza kwa kuelezea mafanikio ya operesheni hiyo ambayo imeweza kuondoa zaidi ya wahamiaji 2,000.