Huwezi kusikiliza tena

Sera mpya ya elimu yazua maoni Tanzania

Sera mpya ya elimu nchini Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni imezidi kuzua maoni mchanganyiko,

baadhi wakiisifu na wengine wakionyesha wasi wasi kuwa huenda isikidhi lengo la kuimarisha mfumo wa elimu nchini humo.

Sera hiyo ilizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa wiki iliyopita kuchukua nafasi ya sera iliyoundwa mwaka 1995.

Mwandishi wetu Arnold Kayanda ana maelezo kutoka Dar Es Salaam.