Wakaazi wa kivu kusini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wagoma
Huwezi kusikiliza tena

Wakaazi wa Kivu Kusini, DRC wagoma

Wakazi wa mji wa Baraka, kusini mwa jimbo la kivu, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo,wameingia siku ya pili ya mgomo baridi, kama mojawapo ya hatua za kulaani vitendo vya uhalifu na mauaji wanavyotendewa wakazi wa mji huo.

Mwandishi wetu wa mashariki mwa Kongo BYOBE MALENGA anaarifu zaidi