Huwezi kusikiliza tena

Nishati mbadala

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Nishati mbadala inayotokana na kinyesi cha wanyama, kutumika kuzalisha umeme, Afrika mashariki

Hatua zinachukuliwa katika nchi Afrika mashariki kuongeza umeme kutokana na kinyesi cha wanyama (samadi).

Mradi huo ambao unazinduliwa mwezi huu unafadhiliwa na shirika la maendeleo ya kimataifa la Sweden-SIDA, na utazinufaisha nchi tatu ambao ni Ethiopia, Tanzania na Uganda.

Mradi wa Uganda umekuwa ukifanyiwa majaribio katika machinjio ya mjini Kampala.

Siraj Kalyango, ametembelea mradi huo na kutuandalia taarifa ifuatayo.