Huwezi kusikiliza tena

Umeme wa Samadi kuzinduliwa

Image caption Huenda Mradi wa Samadi ukasaidia kuondoa changamoto za Umeme Afrika Mashariki

Hatua zinachukuliwa katika nchi Afrika mashariki kuongeza umeme kutokana na kinyesi cha wanyama (samadi). Mradi huo ambao unazinduliwa mwezi huu unafadhiliwa na shirika la maendeleo ya kimataifa la Sweden-SIDA, na utazinufaisha nchi tatu ambao ni Ethiopia, Tanzania na Uganda.

Mradi wa Uganda umekuwa ukifanyiwa majaribio katika machinjio ya mjini Kampala.

Siraj Kalyango, ametembelea mradi huo