Bernard Paulo
Huwezi kusikiliza tena

Msanii Benard Paulo na muziki wa R&B

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania.

Bongo Flava sio staili moja ya muziki, ila ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu

na ubunifu mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam.

Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Mwandishi wetu Regina Mziwanda amezungumza na Ben Paul, mshindi wa tuzo za Muziki za Kilimanjaro upande wa wimbo bora wa RnB kwa mwaka 2012.