Kijana mwenye majina sita
Huwezi kusikiliza tena

Kijana mwenye majina tisa

Je, ushawahi kuskia ama kukutana na mtu yeyote ambaye ana majina tisa? Basi mwenzetu John Nene alipokua Mombasa nchini Kenya amezungumza na kijana huyu ambaye ni kocha wa kandanda ya ufukweni na vile vile ni mvuvi huko Malindi, kaskazini mwa jiji la Mombasa...anaanza kwa kututajia majina yake yote tisa ambayo anasema ni utamaduni wa majina ya Kiafrika.