Chama tawala nchini Burundi kimeanza mchakato wa uteuzi wa mwanachama atakayewania nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu ujao
Huwezi kusikiliza tena

Burundi yaanza mikakati ya uchaguzi

Chama kinachotawala nchini Burundi kimeanza mchakato wa uteuzi wa mwanachama atakayewania nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu.

Nchi hiyo imegubikwa na sintofahamu kufuatia hatima ya Raisi wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza kama ataruhusiwa kugombea kipindi kingine cha uongozi au la

Mwandishi wa BBC Salim Kikeke aliyepo Burundi kwa sasa anafuatia maandalizi ya uchaguzi huo na ametuandalia taarifa ifuatayo.