Jaribio la ndege inayotumia nguvu za jua
Huwezi kusikiliza tena

Ndege inayotumia nguvu za jua yajaribiwa

Jaribio la kuruka angani kwa ndege inayotumia umeme wa jua limeanza.Ndege hiyo iliruka kutoka Abu Dhabi,kabla ya kutua Oman na kuelekea nchini India.Ziara yake katika sayari inatarajiwa kuchukua miezi mitano ikiwa na changamoto za kuvuka bahari za Pasific na Atlantic.