Jinsi ugonjwa wa kupooza unavyodhibitiwa katika mitaa ya mabanda
Huwezi kusikiliza tena

Ugonjwa wa kupooza unavyodhibitiwa Kenya

Kwa miaka mingi ugonjwa wa kupooza umeathiri watoto wa mitaa ya mabanda haswa mtaa wa Kibera uliopo mjini Nairobi. Lakini tangu kuanzishwa kwa kituo cha Paulos Home, mambo yamebadilika kwani idadi ya waathiriwa imeshuka kama anavyotusimulia Laura Nayere aliyekitembelea kituo hicho.