Maonyesho ya maisha ya madereva wa texi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Maonyesho ya dereva wa texi Kenya

Njiani tunawaona kila mahali, na mara nyingi hata tunatumia huduma zao.Dereva wa Taxi.

Lakini ni nadra sana kujikuta tukiwasemesha au hata kuwajulia hali.

Basi msanii mmoja jijini Nairobi ameamua kuwaandama na kusimulia hadithi za hawa madereva wa taxi kupitia picha .

Maonyesho yake kwa jina ' in the Drivers Seat' (katika kiti cha dereva) yamefanyika mapema mjini Nairobi na kuhudhuriwa na wengi waliokuwa na imani kuwa wanaelewa masimulizi ya msanii huyo.

Dayo Yusuf naye alikwenda kujionea