Huwezi kusikiliza tena

Sanamu ya Tembo yatumiwa katika kampeni

Masanii wa sanaa za ufundi na muziki Paulo Ndunguru ametumia takribani dola za kimarekani elfu kumi kutengeneza sanamu ya Tembo.

Kabla Tembo huyo aliyepewa jina la Tembo PEKE, hajazunguushwa sehemu mbali mbali za Tanzania, Ndunguru amefanya tamasha kubwa katika jiji la Dar es Salaam ambako waliofika walipata nafasi ya kubandika ujumbe wao kwenye mwili wa tembo huyo ili kuishinikiza serikali kuchukua hatua zaidi.

Anorld Kayanda anaarifu zaidi