Maelfu ya wanafunzi hukusanyika kuonesha vipaji vyao katika sanaa za utamaduni.
Huwezi kusikiliza tena

Tamasha la Muziki Kenya

Image caption Tamasha la sanaa

Nchini Kenya, ni wakati wa tamasha la sanaa ambapo shule na vyuo vinashindana.

Maelfu ya wanafunzi hukusanyika kuonesha vipaji vyao katika sanaa za utamaduni.

Muhimu tu washinde tuzo. Na si rahisi kwani wavulana ni wasichana na wasichana ni wavulana.

Umefahamu? Dayo Yusuf anafafanua