Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa Taarab wapotea Burundi

Utamaduni wa muziki wa mwambao -taarab-, ambao ulikuwa ukichanua nchini Burundi umetoweka kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Lakini vizazi vipya vimeamka na kusema kutoweka kwa taarabu ni kutokomeza utamaduni wa kiswahili nchini humo , jambo ambalo halikubaliki.

Ni mikakati gani imechukuliwa na vijana hao. Sikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wetu wa Bujumbura Ramadhani KIBUGA na kijana aliyamua kurejea Bujumbura kufufua taarab.