Msanii mmoja wa michezo ya kuigiza na vichekesho kutoka Afrika Kusini Treva Noah, amealikwa kwenda nchini kumrithi John Stewart
Huwezi kusikiliza tena

Msanii Trevor Noah kumrithi John Stewart

Msanii mmoja wa michezo ya kuigiza na vichekesho kutoka Afrika Kusini Treva Noah, amealikwa kwenda nchini

Marekani kuchukua nafasi ya Jon Stewart ambaye muigizaji wa Kimarekani katika kipindi cha vichekesho cha Daily Show.

Mualiko huo wa kwenda Marekani umempa sifa kemkem kijana huyo raia wa Afrika Kusini.

Kutoka Johannesburg Mwandishi wetu Omar Mutasa na maelezo zaidi