Huwezi kusikiliza tena

Kampeni dhidi ya ubaguzi wa albino

Kampeni ya kupambana na ubaguzi dhidi ya albinos imeanzishwa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo baadhi ya makanisa wamewapa nafasi maalbino wenyewe kuonyesha kuwa wanaweza kufanya kazi mbali mbali.

Kampeni hiyo inalenga kuwahamasisha na kuwaonesha jamiii kuwa albino ni watu kawaida kama wengine japo wana taofauti ya rangi lakini wana uwezo ya kuonesha kazi zao na kuwa maarufu kama wengine.

Sikiliza makala iliyoandalia na Mbeleshi Msoshi