Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa kizazi kipya Tanzania

Wanamuziki walio wengi wa kizazi kipya wamejikita katika nyimbo za mapenzi.

Je nini siri iliyopo katika tungo za mapenzi? Leonard Mubali amezungumza na mwanamuziki chipukizi Baraka De Prince kuhusiana na hilo.