Wanasayansi nchini Poland wametengeza maji yanayoweza kukinga risasi
Huwezi kusikiliza tena

Maji yanayoweza kukinga risasi yatengezwa

Wanasayansi nchini Poland wametengeza maji ambayo yakipakwa katika vazi linaloweza kukinga risasi ,yanaweza kuzuia risasi mbali na dharubu inayosababishwa na kasi yake kutosababisha madhara ndani ya mwili wa binaadamu.Maji hayo hufanya kazi kwa kuwa magumu wakati risasi inapopiga na kufyonza risasi hiyo pamoja na dharubu itakayosababishwa na kuisambaza katika kila eneo la vazi hilo.