Buhari:Tutafanya kila tuwezalo kuwarejesha wasichana wa Chibok
Huwezi kusikiliza tena

Buhari:Tutawarejesha wasichana wa Chibok

Huku Nigeria na ulimwengu kwa jumla ukiadhimisha mwaka mmoja tangu kutekwanyara kwa zaidi ya wanafunzi wasichana 200 na wapiganaji wa Boko Haram

rais mteule jenerali mstaafu Muhammadu Buhari amesema kuwa atafanya kila awezalo ili kuwarejesha nyumbani wasichana hao.

Lakini Buhari amekiri kuwa baadhi ya wasichana hao huenda wasipatikane tena.