Google imeorodheshwa kumsaka hayawani Loch ness Monster
Huwezi kusikiliza tena

Google earth yamtafuta Loch Ness Monster

Mtandao wa kutafuta ramani wa Google earth umeorodheshwa katika harakati za kusaka tovuti ya Loch Ness Monster .Hatua hi inajiri baada ya mitandao mingine kushindwa kumpata hayawani huyo.Je, Google utampata,letu ni kusubiri ili tuone.