Kikundi maalum cha vijana wa Ghana  wanaowatapeli maelfu ya fedha  watu kwenye mtandao.
Huwezi kusikiliza tena

Matapeli wa mtandaoni Ghana

Ni vijana ambao umri wao ni wa chini ya miaka thelathini. Wanaendesha magari ya kifahari na mavazi ya bei kali. Ni kikundi maalum cha vijana wa Ghana wanaowatapeli maelfu ya fedha watu kwenye mtandao. Ni biashara ambayo imekuwa na umaarufu mkubwa hasa kwa vijana wasio na kazi. Vijana hawa wanajulikana kama sakawa. BBC imepata fursa ya kuwaona wanavyo watapeli watu kwa mtandao. Akiwa Accra Ken Mungai anaarifu.