Rais wa Tanzania,Jakaya Kikwete
Huwezi kusikiliza tena

Njia ya uzazi wa mpango ya kipekee

wakati serikali ya tanzania ikitenga kiasi cha sh bilioni 3 kwa ajili ya huduma za kisasa za uzazi wa mpango, baadhi ya wanaume nchini humo wameamua kuwahama wake zao kama njia mbadala ya kupanga uzazi.

mwandishi wetu yusuph mazimu, ana taarifa zaidi kutoka mkoani mbeya nyanda za juu kusini magharibi mwa tanzania.