Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Tanzania zimesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane
Huwezi kusikiliza tena

Mafuriko yawaua watu 8 Tanzania

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Tanzania imesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane na maelfu ya watu kukosa makazi. Mvua hiyo imesababisha uharibifu wa miundombinu katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Zanzibar.Mwandishi wetu Hassan Mhelela amezuru baadhi ya maeneo ya Dar Es Salaam na kutuandalia taarifa ifuatayo.