Wahubiri matapeli nchini Ghana
Huwezi kusikiliza tena

Wahubiri bandia watapeli watu Ghana

Huko Afrika magharibi Ghana inakisiwa kuwa na makanisa zaidi ya elfu sitini.Unaweza kufikiri kuwa hili ni jambo jema katika kuilea nchi hiyo kimaadili.

Lakini Polisi wanafikiri vingine na kuwaonya wananchi wa Ghana kuwa makini na baadhi ya wachungaji ambao wamedaiwa kujihusisha na vitendo vya utapeli na udanganyifu.

Mmoja wa wabunge anasema watu wengi wanaojiita manabii wa Mungu wakijivisha ngozi za kondoo wanawaibia maskini. Mwandishi wa BBC kutoka Accra, Ghana, Sammy Darko inasimuliwa na Mariam Dodo Abdallah: