Vipaji vitongojini Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wanaokuza vipaji vitongojini Kenya

Katika Kitongoji Kimoja, magharibi mwa jiji kuu la Kenya Nairobi, vijana wameungana na kuanzisha kituo ambacho watoto wenye talanta katika kitongoji hicho hukusanyika na kukuza talanta zao katika uchoraji, muziki na Kandanda kama njia moja ya kuwaokoa kutokana na maovi ya vitongojini.....David Wafula ametuandalia taarifa hii