Jitihada za AU kuinua maslahi ya wanawake
Huwezi kusikiliza tena

Jitihada za AU kuinua maslahi ya wanawake

Mkutano wa Muungano wa nchi za Afrika unafanyika nchini Afrika Kusini wakati kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni kuinua maisha ya wanawake barani.

Swali kuu ni je wanawake wana kipi cha kujivunia tangu AU iasisiwe mwaka 2002?

BBC inauliza jinsi maisha ya wanawake wa Afrika yalivyo wakati huu.

Je kuna kitu cha kujivunia?