Ubaguzi wamuandama  mrembo zaidi  Japan
Huwezi kusikiliza tena

Ubaguzi wamuandama mrembo zaidi Japan

Je mwanamke aliye na mzazi mmoja ambaye si raia wa taifa alikozaliwa anastahili kushiriki mashindano ya malkia wa urembo wa taifa? Malkia wa urembo Japan akanwa na wajapan kwa sababu babake ana asili ya Kiafrika !