bajeti ya Afrika mashariki
Huwezi kusikiliza tena

Bajeti za mataifa ya Afrika Mashariki

Serikali za Afrika mashariki zimetumia kodi kuvitahadharisha viwanda vyake kwa upande mmoja na kuwapa motisha wananuzi wa bidhaa kutoka nje wanaosaidia sekta muhimu kama vile miundo mbinu,kawi mbali na utekelezwaji wa itifaki ya soko la pamoja.Wanahabari wetu Dayo Yusuf na mwenzake Dinah Gahamanyi waliwahoji baadhi ya wachanganuzi kuhusu bajeti hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.