Mwanasayansi Tim Hunt
Huwezi kusikiliza tena

Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi

Mwanasayansi wa Uingereza Sir Tim Hunt amejiuzulu baada ya kutoa tamko la mzaha kuhusu wanawake.Mshindi huyo wa taji la Nobel alisema kuwa wanawake huwapenda wanaume wanaofanya kazi nao kwa urahisi.Ameongezea kuwa hulia wakati wanapokosolewa.Hatahivyo ameomba msamaha kwa tamko hilo.