Wahamiaji:Italia na Ufaransa zatofautiana
Huwezi kusikiliza tena

Wahamiaji:Italia na Ufaransa zatofautiana

Italia imeikashifu Ufaransa kwa kuwafungia mlango kwa siku 4 kwa wahamiaji waliokuwa wakijaribu kuingia nchini humo

Hayo yalibainika huku Mawaziri kutoka nchi za ulaya wakikutana nchini Luxembourg hii leo kuzungumzia mipango ya kukabiliana na maelfu ya wahamiaji wanaojaribu kuvuka bahari ya Mediterranaean kwa kutumia mashua.