Huwezi kusikiliza tena

Michuano ya voliboli yaendelea Nairobi

Image caption kikosi cha Voliboli wanawake cha Kenya

Michuano ya voliboli kombe la Afrika kwa Wanawake, inaendelea jijini Nairobi, Kenya kwa kuzikutanisha timu kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika.Kutoka Nairobi mwanamichezo wetu Jamhuri Mwavyombo anaarifu zaidi: