Huwezi kusikiliza tena

Pweza na mchuzi wake ni tiba?

Ulaji wa samaki aina ya pweza na unywaji wa supu yake umekuwa maarufu mno jijinio Dar es Salaam, watumiaji wa supu na nyama ya pweza wanaona kuwa kutotumia mlo huu ni kukosa mambo mazuri .Pweza hupatikana katika hoteli mbalimbali na hata mitaani na pweza kasifiwa pia hata kwenye nyimbo.Watu hula pweza na kunywa mchuzi wake wakiamini kuwa ni tiba kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume.lakini madaktari wanasemaje kuhusu hilo?.

Anorld Kayanda anaripoti kutoka Dar es salaam