Waislamu wafunga mwezi mtukufu wa Ramadhan
Huwezi kusikiliza tena

Waislamu waanza kufunga Ramadhan

Waumini wa kiislamu duniani wameanza kutekeleza ibada muhimu ya saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.Mwandishi wetu Abdinoor Aden ameangazia jinsi waumini hao walivyojiandaa na mwezi huo mtukufu.