Huwezi kusikiliza tena

Binti atafuta mume redioni

kituo kimoja cha redio kilifurika mamia ya wanaumme ,baada ya msichana mmoja kutangaza kwamba yeyote atakayetaka kumuoa ajitokeze katika kituo hicho. Na si kujitokeza tu, bali yule atakayejaliwa kumshika mkono wakiwa katika ndoa, msichana huyo atamnunulia nyumba na gari. Kutokana na masharti hayo wanaume hao walijitokeza kwa wingi katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria ili waweze kupata bahati hiyo.Ifuatayo ni taarifa yake Richard Hamilton ikisimuliwa na David Wafula