wamasai wasusi
Huwezi kusikiliza tena

Wamasai wageukia ususi kujikimu kimaisha

Ni jambo la kawaida kuwaona wamaasai wakichunga ngomb'e zao katika milima na mabonde. Lakini hali hii inabadilika kwa kasi kubwa. Wafugaji hao wanategemea zaidi mvua ili waweze kuwalisha ng'ombe zao. Miaka ya hivi karibuni,mvua hizo zimepungua na kuwalazimisha mashujaa hao kuacha ufugaji na kuhamia katika majiji makubwa kama Daressalaam kutafuta maisha kwa njia isiyozoeleka. Mwandishi wetu Tulanana Bohela anatuarifu zaidi.