Huwezi kusikiliza tena

Umuhimu wa watoto kufunga Ramadhani

Jamii nyingi duniani kwa sasa zimekuwa zikilalamikia kupotoka kwa watoto kimaadili ikiwa ni matokeo ya mabadiliko ya mfumo wa maisha,Waislamu wengi wamekuwa wakitumia kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwafundisha watoto wao namna bora ya maisha.

Mwandishi wetu Halima Nyanza kutoka Dar es Salaam ametembelea baadhi ya familia za Kiislam kuona namna wanavyo walea watoto kwa misingi ya kidini ili kuwajenga kimaadili