Kansa ya kizazi inavyoonekana
Huwezi kusikiliza tena

wagonjwa wa Kisukari na changamoto zao

Licha ya Serikali kutenga fedha kukabiliana na maradhi kama saratani na kisukari nchini Tanzania baadhi ya wagonjwa wanahisi kuna haja ya bajeti ya kupamabana na maradhi hayo kuongezwa kutokana na changamoto wanazo kabiliana nazo.

Na leo katika studio zetu za Dar es Salaam, mgeni wetu ni Janeth Manoni Mbuguni, Makamu wa Rais wa Taasisi ya Marafiki wa Watoto wenye Saratini..Awali alizungumza na mwandishi wa BBC,Regina Mziwanda na kumuuliza Tatizo la magonjwa ambayo hayaambukizi kama vile saratani au hata kisukari yana ukubwa kiasi gani ukilinganisha na maradhi mengine?