Masaibu ya wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini Uingereza kupitia Calais
Huwezi kusikiliza tena

Uingereza inapanga kuimarisha ulinzi Calais

Serikali ya Uingereza inapania kuweka mikakati ya kuimarisha idadi ya walinzi katika mpaka wake na Ufaransa ilikuzima ndoto za wahamiaji wanaotaka kuingia nchini Uingereza kwa kusimamisha malori ya kubeba mizigo