Kobe huenda wakaangamia Madagascar
Huwezi kusikiliza tena

Kobe huenda wakaangamia Madagascar

Aina moja ya Kobe wanaowindwa na wawindaji haramu nchini Madagascar wako katika hatari kubwa ya kuangamia

Sasa wanaharakati wa kulinda mazingira wameanza kuweka alama kwenye kauri za kobe hao waliosalia kwa nia ya kuharibu uzuri wao katika macho ya wawindaji haramu.

Kobe mmoja anauzwa katika soko la chini kwa chini kwa dola elfu 37 hivi.