darubini
Huwezi kusikiliza tena

Ethiopia yajenga darubini

Hii ndio sura mpya ya tamaa ya Ethiopia ya mpango wa kuangaza anga za mbali nchini humo. Darubini hizi zimejengwa kwa kipindi cha miaka mitatu na kugharimu dola milioni nne.Immanuel Igunza anaangazia