Huwezi kusikiliza tena

Malengo ya Milenia:TZ

Tanzania imefanikiwa kutimiza lengo namba 4 la malengo ya maendeleo ya milenia.

Lengo hilo linalenga kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kwa theluthi mbili, Pamoja na ongezeko kubwa la idadi ya watu.

Nchi hiyo imefanikiwa kupunguza vifo hivyo kwa asilimia 39 katika kipindi ambacho tarehe ya mwisho ya tathmini ya ikikaribia.

Sikiliza taarifa ya Tulanana Bohela