Huwezi kusikiliza tena

Umaskini bado changamoto kwa maendeleo

Viongozi wa mataifa mbalimbali duniani watakutana katika juhudi za kuutokomeza umaskini duniani. Lengo ni kukubaliana kuhusu shabaha mpya ambazo zitakuwa mbadala wa malengo ya maendeleo ya milenia.

Shabaha kuu ni kupunguza umaskini wa pato la dola moja kwa siku, lakini pia kupunguza vifo vya watoto wachanga na kina mama wanaojifungua.

Siraj Kalyango anaarifu zaidi: