Utafiti: Tofauti ya kasi ya kuzeeka
Huwezi kusikiliza tena

Utafiti: Tofauti ya kasi ya kuzeeka

Utafiti umebaini kuwa kuna umri halisia na umri wa kinayolojia ambao hutokana na vyajula unene na uraibu wa mtu.

Si ajabu kumpata mtu mwenye umri wa miaka 38 lakini kibayolojia ana umri wa miaka 25 .

Aidha kuna wengine wenye umri huohuo wa miaka 38 lakini ana umri wa miaka 60 kibayolojia.