Kumbukumbu ya Shambulizi la kigaidi London
Huwezi kusikiliza tena

Video:Kumbukumbu ya ugaidi London

Raia wa Uingereza leo wameadhimisha mia kumi tangu shambulio la kigaidi katika kituo kimoja cha treni.

Watu 52 waliuawa katika shambulizi hilo lililotekelezwa na kundi la waislamu wenye msimamo mkali.

Maafisa wa uokozi na familia ya wahasiriwa walihudhuria misa maalum katika kanisa la mtakatifu Paulo mjini London.

Awali waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, aliweka shada la maua katika eneo la kumbukumbu katika bustani ya Hyde Park.