Rais Jakaya Kikwete akilihutubia bunge la kumi kabla hajalivunja
Huwezi kusikiliza tena

Tanzania ndani ya miaka kumi

Rais wa Tanzania Jakaya kikwete, amelivunja rasmi bunge la nchi hiyo, ikiwa ni ishara ya kukamilika kwa awamu ya nne ya uongozi nchini Tanzania .

Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda alizungumza na Bashiru Ali mchambuzi wa masuala kiasa na kijamii nchini Tanzania kuhusiana na hotuba ya mwisho ya rais Jakaya Kikwete na kumtaka tathimini ya hotuba hiyo na hasa katika mapambano ya rushwa na ufisadi nchini Tanzania katika kipindi cha miaka kumi ya madaraka yake.