Huwezi kusikiliza tena

Museveni kuituliza Burundi?

Rais wa Uganda Yoweri Museveni leo ameingia siku yake ya pili ya mazungumzo ya amani nchini Burundi. Kumekuwa na vurugu za maandamano nchini humo huku milio ya risasi ikisikika, dhidi ya uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kutaka kuongeza awamu ya tatu ya uongozi wake. Zaidi ya watu 50 wameripotiwa kuuawa huku wengine maelfu wakiikimbia nchi hiyo.

Halima Nyanza alizungumza na Ismail Misigaro kuhusiana na hali ya usalama ilivyo nchini humo.