Huwezi kusikiliza tena

Madhara ya madawa ya kuongeza maumbile

Suala la baadhi ya wasichana kutumia madawa ya kujirembesha au kubadilisha maumbile mara nyingi linazua mijadala mikali kutokana na madhara yake.

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hususan katika mji mkuu Kinshasa, wasichana hao wameanza kujuta kutokana na athari za matumizi ya madawa hayo.

Sikiliza ripoti ya Mbelechi Msoshi kutoka Kinshasa.